Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Saturday, February 8, 2014

NJIWA WA MAAJABU ATUA MAHAKAMANI KAHAMA KWENYE DHAMANA YA MH KASULUMBAYI (Mb CHADEMA)

  NJIWA MmOJA AMBAYE HAKUJULIKANA ALITOKA WAPI KATIKA MAHAKAMA YA WILAYA YA KAHAMA  KABLA YA KUPEWA KWA DHAMANA KWA WAFUASI WA CHADEMA NA MBUGE WAO SLYVESTER KASULUMBAYI .
 MBUGE WA MASWA SLYVESTER KASULUMBAYI AKIWA NA VIONGOZI WA CHADEMA WILAYA YA KAHAMA NA MWENYEKITI  JUMA PROTEX WAKITOKA MAHAKAMANI BAADA YA KUKIDHI HATI YA  DHAMANA
 MBUGE WA MASWA SLYVESTER KASULUMBAYI WAKIONYESHA VIDOLE JUU  BAADA YA KUPEWA DHAMANA .
 WAKIWA NA FURAHA BAADHI YA VIONGOZI WA WILAYA WA CHAMA CHA MAENDELEO NA DEMOKRASI CHADEMA WAKITOKA NJE YA MAHAKAMA YA WILAYA
MBUGE WA MASWA MASHARIKI KWA TIKETI YA  CHAMA CHA DEMOKRASIA MAENDELEO  CHADEMA.
 
 BAADHI YA WAFUASI WA  CHADEMA WAKIWA NA FURAHA BAADA YA WENZAO KUPEWA DHAMANA
 HATA HIVYO PIKIPIKI NAZO ZILIKUWEPO KWA  MAPOKENZI  KWA KWENDA OFISINI KWAO
  BARABARA TOKA MAHAKAMA YA WILAYA YA KAHAMA KWENDA KATIKA OFISI YA CHADEMA BAADA YA MBUGE KUPEWA DHAMANA
 HII NDIYO HALI YA MAHAKAMANI
 MANDAMANO YA BODA BODA NAYO HAYAKUWA MBALI KWENYE MSAFARA WA CHADEMA


 NDIVYO MSAFARA WA CHADEMA ULIKUWA MJINI KAHAMA

No comments:

Post a Comment