Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Thursday, October 8, 2015

MGOMBEA UBUNGE KWA TIKETI YA CHADEMA ANUSURIKA KIFO KWA AJALI YA GARI


Daniel naftal ngogo, mgombea ubunge wa jimbo la kwela mkoani sumbawanga kwa chama cha demokrasia na maendeleo chadema amenusurika kufa katika ajali iliyotokea mida ya saa tano asubuhi ya Jana.No comments:

Post a Comment