


Wachezanji wa zamani wa North End Alan Kelly (kushoto) na Graham Alexander (katikati) na mchezaji wa sasa Joe Garner wakibeba jeneza la Finney

Mwenyekiti wa zamani wa Aston Villa Sir Doug Ellis, katikati, akiwasili pamoja na mchezaji wa zamani wa Manchester United na England Sir Bobby Charlton





Heshima: Mchezaji na meneja wa zamani wa Preston ambaye kwa sasa ni meneja wa Manchester United David Moyes akiwasili mazishini

Meneja wa sasa wa Preston Simon Grayson akiwasili


Nahodha wa zamani wa England na Blackpool Jimmy Armfield na Gordon Taylor wakiwasili kwenye mazishi


Fowadi wa Preston Kevin Davies akiwasili kutoa heshima kwa mkongwe

imeandaliwa na Makoleko

No comments:
Post a Comment