skip to main |
skip to sidebar
SAFISHA JIJI LA ARUSHA YAACHA MJI MWEUPEEE,JIONEE ENEO LA SABENA LILIVYO KWA SASA
Hapa ni eneo la Maarufu liitwalo sabena,zamani palikuwa na vibanda vingiii vya wafanyabiashara kwa sasa pamebaki waziii kama panavyoonekana.
NA LINDENGE
No comments:
Post a Comment