

Waziri wa Mambo ya Nje Ndugu Bernard Membe
akizungumza na waandishi wa habari nje ya Ukumbi wa NEC mara baada ya
kuhojiwa na Kamati Ndogo ya Maadili ambapo alisema Kamati ya Maadili
imeuliza masuala mazito na maswali magumu yanayohusiana na uvunjaji wa
maadili ya uongozi wa chama chetu.

No comments:
Post a Comment