skip to main |
skip to sidebar
PICHA:::SHUGHULI ZA CCM MBEYA KUELEKEA MIAKA 37 YA CCM
Katibu
wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akishiriki ukarabati wa ngazi
kwenye bustani ya jiji la Mbeya mahali ambapo Rais Jakaya Kikwete
atapokea mtembezi ya mshikamano.
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akikata utepe wakati akizindua tawi namba 2 la Inyala Kata ya Iyunga. Katibu
wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akipandisha bendera baada ya
kulizindua tawi la namba 2 la Inyala kata ya Inyala jijini Mbeya katika
muendelezo wa shughuli mbalimbali kuelekea maadhimisho ya miaka 37 ya
Chama cha Mapinduzi CCM mkoani Mbeya yanayotarajiwa kufanyika kesho
kwenye uwanja wa Sokoine
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akigawa kadi katika tawi la namba 2 la Inyala kata ya Iyunga.
Katibu
wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akizungumza na wanachama wa
chama cha Mapinduzi tawi la Iyunga Kata ya Iyunga mara baada ya kuzindua
tawi hilo.
Katibu
wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akizungumza na wanachama wa
chama cha Mapinduzi tawi la Iyunga Kata ya Iyunga mara baada ya kuzindua
tawi hilo.
Katibu
wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye kushoto akikatiza mitaa ya
Mwanjelwa na baadhi ya wana CCM wakati akizindua matawi ya kata ya
Rwanda.(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-MBEYA)
No comments:
Post a Comment