Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akihutubia semina ya viongozi na watendaji wa
Jumuiya ya Wazazi Ngazi ya Taifa, mikoa na Wilaya nchini iliyofanyika
kwenye ukumbi wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM mjini Dodoma Februari
22, 2014wakimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakati alipofungua
semiana hiyo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akihutubia semina ya viongozi na watendaji wa
Jumuiya ya Wazazi Ngazi ya Taifa, mikoa na Wilaya nchini iliyofanyika
kwenye ukumbi wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM mjini Dodoma Februari
22, 2014wakimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakati alipofungua
semiana hiyo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Washiriki
wa Semina ya viongozi na watendaji wa Jumuiya ya Wazazi Ngazi ya
Taifa,mikoa na Wilaya nchini iliyofanyika kwenye ukumbi wa Halmashauri
Kuu ya Taifa ya CCM mjini Dodoma Februari 22, 2014. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
Washiriki
wa Semina ya viongozi na watendaji wa Jumuiya ya Wazazi Ngazi ya
Taifa,mikoa na Wilaya nchini iliyofanyika kwenye ukumbi wa Halmashauri
Kuu ya Taifa ya CCM mjini Dodoma Februari 22, 2014. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akiongozana na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi
Tanzania,Abdallah Majura Bulembo (kulia) na Makamu wake Dogo Idd
Mabrouk (Wapili kushoto) na Mjumbe wa Kamati yaUtekelezaji ya Jumuiya
hiyo,Mohammed Sif Khatib (wapili kulia) kutoka kwenye ukumbi wa
Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM mjini Dodoma baada ya kufungua
semina viongozi na watendaji wa Jumuiya ya Wazazi Ngazi ya
Taifa,mikoa na Wilaya nchini ,Februari 22, 2014. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizuzungumza na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi
Tanzania, Abdallah Majura Bulembo (kulia) na Makamu wake Dogo Idd
Mabrouk (Wapili kushoto) na Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya Jumuiya
hiyo, Mohammed Seif Khatib (wapili kulia) baada ya kufungua
semina viongozi na watendaji wa Jumuiya ya Wazazi Ngazi ya
Taifa,mikoa na Wilaya nchini , kwenye ukumbi wa Halmashauri Kuu ya Taifa
ya CCM, Februari 22, 2014. Kushoto ni Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji
ya Jumuiya hiyo Adam Malima. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment