
Rais
wa shirikisho la Mpira wa miguu nchini TFF Ndugu Jamal Malinzi katikati
akizungungumza na waandishi wa habari jijini Dar Es Salaam leo juu ya
mafanikio ya uongozi wake kwa siku mia moja toka waingie madarakani,
Kulia ni Afisa habari wa TFF Bonifas Wambura na kushoto ni Mshauri wa
ufundi Bwana Rutayunga Peregenus

Pichani
ni baadhi ya Waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali wakifuatilia
mkutano huo uliofanyika leo ndani ya moja ya ukumbi wa hotel ya Kempisk
Hyatt Regence Hotel,jijini Dar.CHANZO MICHUZIJR BLOG

No comments:
Post a Comment