Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na
Mkewe Mama Mwanamwema Shein, wakisalimiana na Viongozi wa Serikali ya
India wakati wa hafla ya chakula cha usiku jana kilichoandaliwa na
Makamo wa Rais wa India Mohammed Ansari na Mkewe Salma Ansari,katika
ukumbi wa Hayderabad House, Mjini New Delhi akiwa katika ziara ya
Kiserikali

Makamo wa
Rais wa India Mohammed Ansari na Mkewe Salma Ansari, wakisalimiana na
ujumbe wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali
Mohamed Shein,alipowatambulisha jana wakati wa chakula cha usiku katika
ukumbi wa Hayderabad House, Mjini New Delhi katika ziara ya Kiserikali
Nchini India

Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na
Mkewe Mama Mwanamwema Shein,(kulia) wakiwa picha ya pamoja na Makamo wa
Rais wa India Mohammed Ansari na Mkewe Salma Ansari,walipoalikwa chakula
cha usiku jana katika ukumbi wa Hayderabad House, Mjini New Delhi akiwa
katika ziara ya Kiserikali.

Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,akisalimiana na Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii wa India Shri
Ghulam Nabi Azad, alipowasili katika hoteli ya Oberoi Mjini New Delhi
alipofikia Rais na Ujumbe wake wakiwa katika ziara ya kiserikali Nchini
India

Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na
ujumbe wake wakizungumza na Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii wa India
Shri Ghulam Nabi Azad,na Viongozi aliofuatana nao walipofika katika
hoteli ya Oberoi Mjini New Delhi alipofikia Rais na Ujumbe wake wakiwa
katika ziara ya kiserikali Nchini India

Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
alipokuwa akisisitiza jambo wakati wa mazungumzo na Watanzania Wanafunzi
wanaosoma katika vyuo mbali mbali nchini India, jana katika ukumbi wa
Hotel the Ashok mjini New Delhi,akiwa katika ziara ya kukuza uhusiano na
mashirikiano na nchi hiyo,(kulia wa kwanza) Waziri wa Uwezeshaji,Vijana
wanawake na Watoto,Bi Zainab Omar Mohamed,Mama Mwanamwema Shein,na
(kushoto) Balozi wa Tanzania nchini India John W.H.Kijazi,

Wanafunzi wa Kitanzania wanaosoma Nchini India wakimsikiliza Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
alipokuwa akizungumza nao jana katika ukumbi wa jengo la Hotel ya Ashok
Mjini New Delhi,akiwa katika ziara nchini India ya siku tisa katika
kukuza uhusiano na ushirikiano katika nyanja mbali mbali za kimaendeleo

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mahadhi Juma
Maalim,Waziri wa Fedha Omar Yussuf Mzee na Balozi wa Tanzania nchini
India John W.H.Kijazi, ni miongoni mwa ujumbe wa Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika ziara
nchini India,pichani wakimsikiliza Rais wakati alipozungumza na
watanzania katika ukumbi wa The Ashok Hotel Mjini New Delhi

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein (katikati) akiwa picha ya pamoja na Watoto baada ya mazungumzo ya
pamoja na Watanzania jana katika ukumbi wa The Ashok Hotel Mjini New
Delhi India akiwa katika ziara ya Kiserikali.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein akiwa picha ya pamoja na Watanzania wanaosoma nchini India baada
ya mazungumzo ya pamoja nao jana katika ukumbi wa The Ashok Hotel Mjini
New Delhi akiwa katika ziara ya Kiserikali.(Picha na Ramadhan Othman
India)ViaZanziNews

No comments:
Post a Comment