
Manchester City kwenye uwanja wao wa Etihad. Hawa jamaa balaa sana kwenye uwanja wao msimu huu. (
uwanjani hapo ikiwa na kumbukumbu ya ushindi wa mchezo wao wa
mzunguko wa kwanza, lakini hilo linaweza kuwa baya zaidi kama Pellegrini
atahitaji kulipa kisasi.
Manchester
City itamkosa straika wake, Sergio Aguero, lakini bado wana mastraika
wengine hatari zaidi, Alvaro Negredo, Stevan Jovetic, Eden Dzeko, ambao
wote ni hatari sana. Pellegrini watu wake muhimu kikosini anapocheza
mechi kubwa ni Vincent Kompany, Samir Nasri, David Silva, Yaya Toure,
Fernandinho, Gael Clichy na Zabaleta. Chanzo: mwanaspoti

No comments:
Post a Comment