Naibu
Katibu Utumishi Bw.HAB Mkwizu (kushoto) akizungumza na wataalam wa
kujitolea kutoka Japan katika hafla fupi ya kuwakaribisha nchini
iliyofanyika ukumbi wa mikutano wa Ofisi ya Rais,Utuimishi.Kulia ni
Naibu Mkurugenzi wa JICA Tanzania Bw. Shinya Tomonari.
TUNAOMBA BOFYA HAPA NA ULIKE PAGE YETU KWA HABARI NYINGI MOTOMOTO(USIPITWEEEE)
No comments:
Post a Comment