Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, February 12, 2014

SUMAYE APOKELEWA NA MABANGO YANAYOMUHUSU LOWASSA AKIWA JIJINI MWANZA JIONEE

                IMEANDIKWA NA Shadrack Mgaya  
 Hapa ni baadhi ya washiriki kwenye kongamano lilofanyika katika ukumbi wa nyanza jijini mwanza washiriki walikuwa wanafunzi wa vyuo jijini mwanza
 Mh. Sumaye akizungumza katika kongamano hilo leo

 waandishi wa habari nao hawakuwa nyuma katika kongamano hiliwalikuwepo na walifuatilia kwa makini pia 

 Baadhi ya wageni waalikwa waliokuwepo katika kongamano hilo wakiwa wanafuatilia kwa makini kabisa

 Baadhi ya wageni waalikwa waliokuwepo katika kongamano hilo wakiwa wanafuatilia kwa makini kabisa

 Baadhi ya wageni waalikwa waliokuwepo katika kongamano hilo wakiwa wanafuatilia kwa makini kabisa

No comments:

Post a Comment