Timu
hicho zilicheza Mchezo wa Kirafiki Katika Uwanja wa Mochwari mKoani
Morogoro Mara daaba ya Timu ya Tanga Veterani Kufanya ziara ya Kudumisha
Urafiki na Undugu walionao dhidi ya Timu ya Morogoto Vetrani.Katika
Mchezo Huo Wenyeji Timu ya Morogoro Veterani Walishinda kwa Jumla ya
Magoli 2 kwa Moja.Magoli ya Moro Veterani Yalifungwa na Mokili Rambo dk
35 na 72 Wakati Goli la kufutia Machozi la Tnga Veterani Lilifungwa Dk
80.
Kikosi cha Timu ya Tanga Veterani Kilichoanza katika Mchezo wa Kirafiki Dhidi ya Morogoro Veteran
Wenyeji wa Mchezo huo Timu ya Morogoro Veterani wakiwa katika picha ya pamoja.
Mashabiki waliojitokeza katika Mchezo huo
Mchezaji
wa Morogoro Veterani Boniface Mapunda akiwa na Mpira sambamba na
Mchezaji wa zamani wa Timu za Ligi kuu za Moro united,Ynaga na Ruvu
Shooting Benjami Haule
Mchezajiwa
zamani wa timu ya Polisi Morogo Juma Khamisi akiwa na Mpira wakati wa
Mchezo wa Kirafiki Dhidi ya Timu ya Tanga Veterani
Moja ya Purukushani katika mchezo huo katika Lango la Timu ya Tanga Veterani
Wachezaji
wa Timu ya Morogoro Veterani wakimpongeza Mcheazji Wa zamani wa Polisi
Morogoro Mokil Rambo mara baada ya kuwafungia Goli la Kuuongoza.
Beki wa Timu ya Moro Veterani akiwa katika Mchezo huo.
NA MATUKIO NA VIJANA BLOG

No comments:
Post a Comment