Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Friday, February 28, 2014

VIONGOZI 10 WA UAMSHO WAPEWA DHAMANA

Viongozi 10 wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar, jana wameachiwa kwa dhamana baada ya Jaji wa Mahakama Kuu Zanzibar kupunguza masharti ya dhamana kutoka fedha taslimu Sh25 milioni kila mshtakiwa hadi kuwa dhamana ya maandishi kwa kiwango hicho. Uamuzi huo umetolewa baada ya upande wa utetezi,kuiomba mahakama kupunguza masharti ya dhamana kwa kuwa hawana uwezo kutoa fedha taslimu. Kesi hiyo itatajwa tena Machi 27.

No comments:

Post a Comment