Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Saturday, February 22, 2014

WASANII WAWAOMBA WAJUMBE WA BUNGE MAALUM LA KATIBA KUZINGATIA MASUALA YA WASANII

1Mjumbe wa Mkutano wa Bunge Maalum la Katiba Samwel Sitta (mwenye koti jeusi katikati) akiwa katika picha ya pamoja na viongozi kutoka mashirikisho mbalimbali ya wasanii wa nchini . Viongozi hao walikuwa mjini Dodoma jana kwa ajili ya kuwaomba wajumbe wa mkutano huo kuzingatia masuala ya wasanii katika maboresho ya rasimu ya  Katiba mpya. 1bBaadhi ya  viongozi kutoka mashirikisho mbalimbali ya wasanii wa nchini  wakibadilishana mawazo  jana wakati walipofika kwenye eneo la Mkutano Maalum wa Bunge Maalum kwa lengo la kuwaomba wajumbe wa mkutano huo kuzingatia masuala ya wasanii katika maboresho ya rasimu ya  Katiba mpya. ngonyanMjumbe wa Mkutano wa Bunge Maalum la Katiba Stephen Ngonyani (kulia) akibadilishana mawazo jana wakati Viongozi hao walikuwa mjini Dodoma jana kwa ajili ya kuwaomba wajumbe wa mkutano huo kuzingatia masuala ya wasanii katika maboresho ya rasimu ya  pamojaWajumbe wa Mkutano wa Bunge Maalum la Katiba Stephen Ngonyani (kulia) na Dkt. Hamis Kigwangalla (wa pili kulia) wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi kutoka mashirikisho mbalimbali ya wasanii wa nchini . Viongozi hao walikuwa mjini Dodoma jana kwa ajili ya kuwaomba wajumbe wa mkutano huo kuzingatia masuala ya wasanii katika maboresho ya rasimu ya  Katiba mpya. Picha na MAELEZO-Dodoma

No comments:

Post a Comment