Mkurugenzi wa AUWSA, Inj. Ruth Koya akisoma Ripoti ya Maji ya Halmashauri ya Wilaya ya Karatu kwa Waziri wa Maji, Prof. Jumannne Maghembe..Mradi huo mahsusi kwa ajili ya kukabiliana na upungufu mkubwa wa maji mjini Karatu unasimamiwa na Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Jijini Arusha (AUWSA). Pia, Prof. Maghembe alitembelea Halmashauri ya Mji wa Karatu kuangalia hali ya upatikanaji wa maji na utekelezaji wa miradi ya maji wilayani humo katika programu ya vijiji 10 ya BRN.
Waziri
wa Maji, Prof. Jumanne Maghembe mwishoni mwa wiki alitembelea mradi wa
maji wa dharura Karatu Mjini kuona utekelezaji wake.
Miundombinu ya mradi wa maji wa dharura Karatu Mjini
Waziri
wa Maji, Prof. Jumanne Maghembe, akiangalia tanki la maji la mradi wa
dharura wa Karatu Mjini, huku akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa
AUWSA, Inj. Ruth Koya.
Waziri
wa Maji, Prof. Jumanne Maghembe, akiangalia tanki la maji la mradi wa
dharura wa Karatu Mjini, huku akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa
AUWSA, Inj. Ruth Koya.
Waziri wa Maji, Prof. Jumanne Maghembe akimtwisha ndoo ya maji mmoja wa wakazi wa Karatu Mjini.
Waziri
wa Maji, Prof. Jumanne Maghembe akiwa na mwenyeji wake Mkuu wa Wilaya
ya Karatu, Felix Ntibenda (kulia) na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya
ya Karatu, Moses Mabula.

No comments:
Post a Comment