Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Thursday, February 13, 2014

ZIARA YA NAIBU WAZIRI WA MAJI DOMA NA MELELA MKOANI MOROGORO


IMG_0154Naibu Waziri wa Maji, Amos Makalla akisomewa ripoti ya mradi wa maji Doma, Morogoro.Naibu Waziri wa Maji, Amos Makalla akiwa katika vijiji vya Doma na Melela katika ziara yake ya siku 10 inayoendelea mkoani Morogoro.IMG_0162Mmoja wa wakazi wa Doma akichota maji katika mradi wa maji Doma, Morogoro. Kituo cha pampu ya kusukumia maji ya mradi wa Melela, Morogoro.IMG_0182IMG_0207Afisa Bonde wa Wami/Ruvu, Praxeda Kalugendo akitoa maelezo kwa Naibu Waziri wa Maji, Amos Makalla alipotembelea mradi wa Melela, Morogoro.
IMG_0214Naibu Waziri wa Maji, Amos Makalla akiwa amesimama mbele ya tanki la maji la mradi wa Melela, Morogoro akizungumza na wakazi wake.IMG_0218Kamati ya Jumuiya ya Watumia Maji wa mradi wa Melela, Morogoro wakiwa katika pamoja na Naibu Waziri wa Maji.

No comments:

Post a Comment