Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Friday, March 7, 2014

AJALI YAUA MTU 1 NA KUJERUHI 17 RUNGWE

 
Habari Zilizotufikia Hivi Punde Kwamba Ajali ya basi Lililokuwa likitokea Dar kwenda Rungwe Limepata ajali Usiku wa Kuamkia Leo na Kusababisha Kifo cha Mtu Mmoja na Kujeruhi Watu 17.
Chanzo ITV

No comments:

Post a Comment