Na. Ismael Mohamed: Watu wawili wamepoteza maisha, majeruhi 20 na wengine 9 hali zao mbaya wamehamishwa hospitali na kupelekwa Bugando kutokana hali zao kuwa mbaya na 10 wakiwa wamelazwa katika hospitali moja karibu na eneo la tukio lilipo tokea baada ya basi la Mohammed Trans la Mwanza-Singida kuacha njia na kupinduka eneo la Ukiliguru, Mwanza!..
KEDDY MGUMIA NA SABRINA HAJI WAFUNGA NDOA JIJINI DAR ES SALAAM
-
*Bwana Keddy Abubakari Mgumia na Bi. Sabrina Haji Mmanga wamefunga ndoa
katika hafla iliyofanyika tarehe 16 Agosti 2026 jijini Dar es Salaam.*
*Shereh...
11 hours ago


No comments:
Post a Comment