Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, March 19, 2014

CHAMA KIPYA CHA ACT WAGAWA KADI ZA CHAMA BURE MOROGORO JIONEE



Leo hi BUSTANI YA HABARI ilibahatika kukutana na tukio la ugawaji kadi katika kijiwe kikongwe cha siasa mkoani Morogoro kinachofahamika kwa jina la TAHARIRI SQUARE.Watu kadhaa wamejiunga na chama hicho baada ya kupigwa darasa la nguzo za chama hicho ambazo zimeandikwa nyuma ya kadi.

No comments:

Post a Comment