"ETI
WAGANGA WENYEWE NDIO HAWA !WALIOKUWA WANAZOZA WILAYANI KWANGU KWA
MINAJILI YA KUTOA WACHAWI NA KUSABABISHA SHUGHULI ZOTE ZA UJENZI WA
TAIFA KUSIMAMA! YAANI HAWAJAI HATA KWENYE MKONO ! NIMEKASIRIKAJE !
NIMEWACHIMBA MKWARA SITAKI KUWAONA KABISA NA WAMESAINI KIAPO CHA
KUTOFANYA SHUGHULI HIZO HAPA WILAYANI KWANGU !"
|
WAZIRI JAFO ATAKA HUDUMA KWA WAKATI ZAHANATI YA BWAMA.
-
Waziri wa Viwanda na Biashara na Mbunge wa Jimbo la Kisarawe Mhe.
Dkt.Selemani Jafo(Mb) amemtaka Mganga Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe
kuhakikisha huduma ya...
7 hours ago
No comments:
Post a Comment