Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, March 11, 2014

FAHAMU MCHEZAJI WA KWANZA NA PEKEE ALIYEWAHI KUFUNGA HAT TRICK KATIKA MCHEZO WA FAINALI WA KOMBE LA DUNIA

Umati wa mashabiki 93,000 ulikuwepo ndani ya uwanja wa Wembley katika fainali ya kombe la dunia mwaka 1966.

Mchezo huo ulishuhudia mechi ya kihistoria katika michuano hiyo, huku England wakiifunga Ujerumani Magharibi 4-2 baada ya extra time. 

Shujaa wa England Geoff Hurst, aliweka rekodi ya kuwa mchezaji wa kwanza na mwisho kufunga mabao matatu - hat trick katika fainali ya kombe la dunia.NA SHAFFIH DAUDA

No comments:

Post a Comment