Bibi
Consolata Semgovano ambaye ni mama mzazi wa aliyekuwa Waziri wa Fedha
na Mbunge wa Kalenga, Iringa Vijijini, Marehemu Dk. William Mgimwa,
akisalimiana na mjukuu wake, mgombea wa ubunge wa CCM, katika jimbo
hilo , Godfrey Mgimwa, mgombea huyo amefanya mkutano wa kampeni Kijijini
kwao Magunga, leo. (Picha na Bashir Nkoromo)
Bibi Consolata Semgovano akimuombea kila la kheri mjukuu wake, Godfrey
Mgimwa katika kuwania kiti cha ubunge wa Kalenga, Godfrey wakati
alipofika kijijini kwao Magunga
Godfrey Mgimwa katika shamrashamra kijijini kwao, Makongati.alipofika kwenye mkutano wake wa kampeni kuomba kura
Kinamama wa Kijiji cha Makongati, Kata ya maboga, wakishangilia kumpokea Godfrey Mgimwa alipowasili kufanya mkutano wa kampeni.
Godfrey Mgimwa akiingia kijijini kwao, Magunga, Kata ya Maboga, kufanya mkutano wa kampeni Godfrey Mgimwa akizungumza na wananchi katika kijiji kidogo cha Makongati, Kata ya Maboga wakati wa mkutano wa kampeni. Mgombea Mgimwa, akiserebuka na Kinamama wa Makongati Kata ya Maboga

No comments:
Post a Comment