Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, March 4, 2014

HUZUNI KUBWAA:: MTOTO MMOJA KATI YA WALE MAPACHA WANNE WALIOZALIWA MKOANI MBEYA NA AMBAYE NDIYE ALIKUWA MKUBWA ALINIKUMBU AMEFARIKI DUNIA


Habari mbaya zilizotufikia hivi punde ni kwamba Mtoto mmoja kati ya mapacha wanne Pichani  amefariki dunia jioni ya leo baada ya kuugua kifua kwa muda mfupi, ni mtoto wa kwanza kushoto ambaye pia ndiye alikuwa ni mkubwa. 
Taarifa zaidi zinakuja endelea kufuatilia
Picha ya mapacha hao wanne 
Mwandishi Mkuu wa Mbeya yetu Blog Joseph Mwaisango , akiwa pamoja na mtoto wake Erick Mwaisango wakati walipo kwenda kuwatembelea watoto hao, hapa akiwa amemshika Marehemu.

Na Mbeya yetu

No comments:

Post a Comment