BUNGE MAALUM
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Katibu
wa Bunge Maalum Bwana Yahaya Khamis Hamad anawatangazia Wajumbe wote wa
Bunge Maalum kuwa wafike kwenye viwanja vya Bunge leo saa 8:45 mchana
ili kushiriki kikao cha Bunge Maalum kitakachoanza saa 9:00 mchana na
kufuatiwa na hotuba ya ufunguzi wa Bunge Maalum itakayotolewa na Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete saa 10
jioni. Kwa maelezo zaidi piga 0713 123 254.
Imetolewa na Ofisi ya Katibu wa Bunge Maalum
DODOMA
21/03/2014

No comments:
Post a Comment