Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Friday, March 21, 2014

RIDHIWANI KIKWETE AENDELEA NA KAMPENI ZAKE JIMBO LA CHALINZE

12Mwimbaji wa kundi la TOT Hafsa Kazinja akifanya vitu vyake katika mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye kijiji cha Kaloleni kata ya Ubena leo.13Msanii Dokii akiimba wakati wa mkutano wa kampe ni katika kijiji cha Kaloleni .Umati mkubwa umehudhuria katika mkutano huo.5Msanii Sam wa Ukweli akiimba katika mkutano wa kampeni uliofanyika Kaloleni.6Msanii Dokii akimkabidhi Mgombea ubunge wa jimbo la Chalinze kupitia CCM Ridhiwani Kikwete fulana yenye picha yake ambayo imebuniwa na msanii huyo.7Sam wa Ukweli akifanya vitu vyake.8Baadhi ya wananchi w aliojitokeza katika mkutano wa Kampeni katika kijiji cha Visakazi kata ya Ubena.
Katibu wa CCM wilaya ya Mufindi Bw. Miraji Mtaturu akngea na wana Chalinze katika kijiji cha Ubena11Wananchi wakiwa katika mkutano wa kampeni kijiji cha kaloleni

No comments:

Post a Comment