Kaimu
Mkurugenzi Mtendaji wa Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP-Mtandao), Bi.
Lilian Liundi akitoa hotuba ya kuwakaribisha wageni mbalimbali na
kuzungumza na washiriki wa maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani
yaliyofanyika katika viwanja vya TGNP Mabibo jijini Dar es Salaam.
Mkuu
wa Chuo cha Mafunzo ya Jinsia (GTI), Bi. Zuki Njalai Mihyo
(aliyesimama) akizungumza na washiriki wa maadhimisho ya Siku ya
Wanawake Duniani yaliyoandaliwa na TGNP-Mtandao katika viwanja vya TGNP
Mabibo jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi
Mtendaji mstaafu wa TGNP-Mtandao, Bi. Usu Mallya (aliyesimama) akitoa
mada kwa washiriki wa maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani
yaliyoandaliwa na Mtandao wa Jinsia Tanzania.
Kaimu
Mkurugenzi Mtendaji wa Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP-Mtandao), Bi.
Lilian Liundi (kulia) akichukua dondoo muhimu wakati wa uwasilishwaji
mada anuai katika maadhimisho hayo.
Washiriki
wa maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani wakijumuika katika burudani
huku wakionesha majarida anuai ya kupinga ukatili, unyanyasaji wowote wa
kijinsia kwa wanawake nchini Tanzania.
Baadhi
ya washiriki anuai wa maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani
yaliyoandaliwa na TGNP-Mtandao wakifuatilia mada zilizowasilishwa katika
maadhimisho hayo.
Baadhi ya washiriki wa maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani wakijisajili kabla ya kujumuika na wenzao katika maadhimisho.Kaimu
Mkurugenzi Mtendaji wa Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP-Mtandao), Bi.
Lilian Liundi (wa kwanza kulia) akitoa hotuba ya kuwakaribisha wageni
mbalimbali na kuzungumza na washiriki wa maadhimisho ya Siku ya Wanawake
Duniani yaliyofanyika katika viwanja vya TGNP Mabibo jijini Dar es
Salaam. Kushoto ni Mkuu wa Chuo cha Mafunzo ya Jinsia (GTI), Bi. Zuki
Njalai Mihyo akichukua dondoo muhimu.Baadhi ya washiriki wenye ulemavu wakifuatilia maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani.Katika maadhimisho hayo baadhi ya wajasiriamali walijitokeza kuonesha bidhaa zao kwa washiriki.Baadhi ya viongozi wa vyama anuai vya wanawake wenye ulemavu wakifuatilia maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani
No comments:
Post a Comment