Wanawake wanaowakilisha Wizara ya Maliasili na Utalii wakipita mbele ya mgeni rasmi katika uwanja wa Mwembe-yanga.
Bibi aliyefurahia maandamano ya wanawake wenzake na kujiunga nao kusheherekea siku ya wanawake duniani.Wanawake wa Wizara ya Maliasili na Utalii wakiserebuka wakati wa maandamano kuelekea uwanja wa Mwembe-yangaBaadhi wa wanawake wa wizara ya maliasili na utalii wakijiandaa kujiunga kwenye maandamano nje ya uwanja wa Mwembe – yanga
SHINDANO LA MABINGWA LA EXPANSE MILIONI KUSHINDANIWA
-
KITITA cha shilingi milioni moja taslimu kushindaniwa kupitia shindano la
michezo ya kasino ya Expanse, Hivo wewe mdau wa michezo ya kasino unaweza
kua m...
7 hours ago
No comments:
Post a Comment