kupitia ukurasa wake wa Facebook Hamisi kaandika "Nimenusurika
kuuawa muda si mrefu. Mungu mkubwa. Askari kwenye gari ananiambia na
bahati yako nimekukosa, nililenga kichwa....kijana mmoja alikaa mbele
yangu amepigwa risasi kwenye paji la uso, sijui kama amenusurika! Vijana
wamenilinda kwa ujasiri bila hofu. Leo askari wamenikamata kwa staha.
Siwezi kukubali kamwe dhulma ya mabepari dhidi ya wanyonge! Niliwaahidi
na niliapa kuwatetea..."
Kitaifa : Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba akutana na waziri Mkuu Mstaafu
Kassim Majaliwa
-
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amekutana na Waziri Mkuu Mstaafu Kassim
Majaliwa nyumbani kwake Nandagala, Ruangwa mkoani Lindi.
Mheshimiwa Dkt. Mwigu...
5 hours ago

No comments:
Post a Comment