Simba SC imeendelea kusuasua katika Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya kupokea kichapo cha bao 1-0 kutoka kwa Coastal Union leo.
Bao la
Coastal limewekwa kimiani na Hamad Juma dakika ya 45 kipindi cha kwanza
katika mechi hiyo iliyopigwa Uwanja wa Taifa jijini Dar.Chanzo GPL

No comments:
Post a Comment