Inawezakuwa
umeshaiona habari ya mkasa huu wa simba jike kujitosa kwenye mto na
kupambana na mamba ili aweze kuwavusha mto watoto wake. Hatua hiyo
ililenga kuwalinda watoto wake wasiliwe na mamba, kweli upendo wa mama
hauna kipimo.
Karibu ushuhudie picha za tukio hilo hatua kwa hatu lililotokea kwenye mto wa okavango delta nchini Botswana.
Mama simba anajitosa majini
Uhhhhhh uhhhhh simba huyu akionyesha umwamba wakeee
kazi imeanza
simba huyu akiwa kamdaka mamba vizuriii na kumpaaa kipigo kizuriii
mamba akaingia mitini
Simba huyu akiendelea kutoa kipigooo kwa mamba
simba akavuka upande wa pili wa mto kuashiria kuwa ni salama kwa wanawe kuvuka pia

mama kasafisha njia wacha tuvuke fasta

No comments:
Post a Comment