Mhe. Ole Sendeka akichangia mswada wa kanuni zitakazo tumika wakati wa kikao cha bunge maalumu la katiba jana jioni.
Mhe. James Mapalala akiwelekeza jambo mjumbe mwenzake kwa kidole wakati wa semina ya kujadili rasimu ya kanuni zitakazo tumika wakati wa kikao cha bunge maalumu la katiba. Picha na DeusdeditMosh
No comments:
Post a Comment