
Meza kuu ikimkumbusha mwenyekiti baadhi ya vipengele

Wanachama wakimpongeza mwenyekiti Ismail Aden Rage baada ya mkutano kumalizika.

Wanachama wakinyoosha mikono juu kama ishara ya kukubaliana na ibara zinazojadiliwa

Wanachama wakinyoosha mikono juu kama ishara ya kukubaliana na ibara zinazojadiliwa

Meza kuu ikimkumbusha mwenyekiti baadhi ya vipengele


Wanachama wakihakiki majina yao kabla ya kuingia kwenye mkutano

Uhakiki Ukiendelea

- Wanachama kwa makundi wakiteta kabla ya mkutano kuanza

Wanachama wakiendelea kuteta kabla ya mkutano kuanza

- Katibu mkuu wa Simba Ezekiel Kamwaga akifungua mkutano

Mzee Kinesi akisoma dua ya kufungua mkutano

- Mwenyekiti wa Simba akielezea hoja ya marekebisho ya katiba

Wajumbe wakifuatilia kwa umakini kinachojiri

- Wanachama wakiomba kuchangia moja ya mada

Kaimu Mwenyekiti wa zamani Joseph Nyange Kaburu akichangia moja ya hoja katika mkutano

Mmoja ya Wanachama Maarufu Simba Mzee Chacha Akichangia Jambo

Manung’uniko na Ubishani ni sehemu ya demokrasia ya mikutano

- Wanahabari kazini

No comments:
Post a Comment