Meneja Kampeni wa Chama cha Deokrasia na
Maendeleo (CHADEMA), kwenye uchaguzi mdogo wa Jimbo la Kalenga, Alphonse
Mawazo, akicheza ngoma ya jamii ya kimasai baada ya kufanya kampeni ya
nyumba kwa nyumba kumnadi mgombea ubunge wa chama hicho, Grace Tendega
Mvanda
Mgombea Ubunge wa Chama cha Demokrasia na
Maendeleo (CHADEMA) katika uchaguzi mdogo Jimbo la Kalenga, Grace
Tendega Mvanda, akizungumza kuomba kura wakati chama hicho kilipofanya
kampeni ya nyumba kwa nyumba na mtu kwa mtu katika Kijiji cha Mfyome
Mgombea ubunge wa Chama cha Demokrasia na
Maendeleo (CHADEMA), katika uchaguzi mdogo wa Jimbo la Kalenga, Bi.
Grace Tendega Mvanda akishiriki chakula cha kimila pamoja na watu wa
jamii ya kimasai katika Kijiji cha Mfyome jana asubuhi baada ya msafara
wa mgombea huyo kufika kijijini hapo kufanya kampeni za nyumba kwa
nyumba.
Mzee wa Mila wa Kimasai katika Kijiji cha
Mfyome, Lioper Ilmuduji, akimpatia baraka mgombea ubunge wa CHADEMA
katika uchaguzi mdogo wa Jimbo la Kalenga, Bi. Grace Tendega Mvanda,
wakati chama hicho kilipofanya kampeni ya nyumba kwa nyuma kuomba kura
kwa wananchi katika kijiji hicho.PICHA NA KURUGENZI YA HABARI CHADEMA
ELIMU YA MATUMIZI SALAMA YA GESI NA FURSA YATOLEWA UDOM, TZLPGA YAPINGA
DHANA POTOFU.
-
Wananchi wametakiwa kuachana na dhana potofu kuwa chakula kinachopikwa kwa
gesi ya LPG hakina ladha kama cha kupikwa kwa mkaa, huku ikielezwa kuwa
tafiti...
12 hours ago






No comments:
Post a Comment