Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Thursday, March 27, 2014

RAIS KIKWETE AFUNGUA SOKO LA VYAKULA MICHUNGWANI MUHEZA

D92A8333Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifunua kitambaa katika jiwe la msingi kuashiria kufungua na kukagua bidhaa Soko la Vyakula Michungwani wiyani Muheza leo.D92A8349D92A8507Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikagua na kuzungumza na wafanyabiashara katika  soko la Vyakula Michungwani Wilayani Muheza Mkoa wa Tanga leo.Rais Kikwete yupo katika ziara ya kikazi mkoa wa Tanga(picha na Freddy Maro)

No comments:

Post a Comment