Salma Jabu(Nisha) ambaye kwa sasa anakimbiza kwenye sanaa ya uigizaji amefanikiwa kutoa Filamu yake mpya ijulikanayo kwa jina la "GUMZO"Akiwa amewashirikisha wasanii wakongwe na maarufu nchini kama Mzee Majuto,Hemedi Na wengine wengi.Akizungumza na Mtandao wetu wa Dj sek Nisha amesema anashukuru mungu kwa sapoti aliyoipata toka kwa mashabiki wake kwa kuwa toka Movie yake hiyo mpya imeachiwa amefanikiwa kuuza nakala nyingi sana kuliko alivyotarajia,Hivyo kumpelekea kuwa kinara kwa sasa kwenye soko la bongo movie.Filamu ya Gumzo kwa sasa ndio imekuwa Inauzwa kwa wingi kwenye soko la movie toka imetoka na kupelekea kupachikwa jina la malkia wa bongo movie,Utake usitake kwa sasa mwanadada nisha anafanya vizuri sana kwenye uigizaji na sokoni.Filamu hiyo imeshutiwa na director mkali nchini ajulikanaye kwa jina la Kabuti Onyango.
TANZANIA YAPONGEZWA KUWA KINARA WA MASUALA YA AMANI NA USALAMA UKANDA WA
MAZIWA MAKUU
-
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imepongezwa kwa kuwa kinara katika masuala
mbalimbali yanayolenga kuleta amani na usalama katika Ukanda wa Maziwa
Makuu.
P...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment