Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Monday, March 3, 2014

TAZAMA PICHA:::KIJANA ANASWA AKIIBA VIATU MSIKITINI


clip_image001Kijana anayesadikiwa kuwa kibaka wa kuiba viatu misikiti, aliyejitambulisha kwa jina la Abubakar Abuu (32) akijieleza mbele ya
waumini wa msikiti wa Mwenge baada ya kunaswa kaiba sendoz za muumini.clip_image001[6]Kijana anayesadikiwa kuwa kibaka wa viatu msikiti katika picha za matukio tofauti ikiwamo akiwa na viatu alivyoiba znazoonekana mwishoni kulia.

No comments:

Post a Comment