Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Sunday, March 2, 2014

TOKA KALENGA:::ALIYEKUWA MWENYEKITI WA CHADEMA KATA YA NZIHI AACHIA NGAZI NA KUHAMIA CCM


Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema kata ya Nzihi akijitambulisha Rasmi kwa Wananchi wa Kijiji cha Nzihi kuwa yeye  ameamua kuachana na Chadema na Kujiunga na CCM kwa hiari yake baada ya kupima Uwezo wa Chadema na CCM kwenye Hoja na Matendo.Mwanachama huyu Mpya wa CCM ameahidi kuongoza timu ya Ushindi kwenye Kata ya Nzihi kuhakikisha Godfrey Mgimwa napita kuwa Mbunge.
Pia amesema ataiweka wazi mipango ya Chadema na Watu wageni wa Chadema waliokodishwa na Kupangishwa Nyumba kata ya Nzi wanaotembea Usiku kwaajili ya Kutafuta kura na kushambulia Wanoaunga mkono CCM kwenye kata ya Nzihi.Aliyekuwa Mwanachama wa Chadema kutoka kijiji cha Kamiyu na Katibu Mwenezi wa Chadema kata ya Kamiyu akitangaza kuachana na Chadema na Kujiunga na CCM hii leo kwenye Mkutano wa hadhara uliofanyika Kijiji cha Nzihi.CHANZO MICHUZIJR BLOG


No comments:

Post a Comment