Waziri wa habari ,utamaduni na Michezo Dk Fenera Mukangara akikabidhi mfano wa hundi ya sh Mil 2 kwa mshindi wa pili wa Haf Marathoni wanawake. |
Washindi wa Half Marathoni wakiwa katika picha ya pamoja. |
Mshindi wa kwanza wa Full Marathoni David Ruto akionesha mfano wa hundi ya sh mil 4 iliyotolewa kwa mshindi wa kwanza. |
Kilimanjaro Marathoni imeshirikisha watu wa rika zote. |
Mshindi wa kwanza wa Full Marathoni kwa upande wa wanawake Frida Lodepa wa Kenya. |
Mshindi wa kwanza wa Half Marathoni ,Jackline Sakilu akihitimisha mbio. |
Mbio za Kilimanjaro marathoni zimetuunganisha. |
Waliofanikiwa kumaliza mbio walishindwa kusimama na kuhitaji msaada. |
Wenye ulemavu pia wameshiriki vyema mbio hizo. |
Matibabu yalikuwepo kwa wale waliopata tatizo wakati wa mashindano. |
Kampuni ya GAPCO ilisimamia zoezi la zawadi kwa washindi kwa wenye ulemavu. |
Kila mwaka huwa kama siku kuu ya kuwakutanisha watu pamoja. |
Walemavu wakiwa wamekusanyika baada ya mashindano. |
Kawe Jogging club walisafiri toka Dar hadi Moshi kwa ajili ya Kilimanjaro Marathoni. |
Wale wa mbio za kujifurahisha Vodacom Fun Run walijinyakulia na zawadi za kutosha toka Vodacom. |
Wadau pia walikuwepo. |
Wadau wakiwa katika maadalizi ya mbio za Vodacom Fun Run. |
Msanii wa michezo ya kuigiza Mhogo Mchungu naye pia alikuwa karibu akifuatili mbio |
No comments:
Post a Comment