Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Alhajj Dkt. Mohammed
Gharib Bilal, akisalimiana na wananchi wa kijiji cha kiboje uwandani
alipowasili katika kijiji hicho leo Machi 2-2014 kwa ajili ya kufungua
msikiti wa Masjid Fatima Binti Rasuuli uliojengwa na baadhi ya wafadhili
kwa kushirikiana na Muwakilishi wa Jimbo la Uzini Mhe. Mohammed Raza.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal na
Rais mstaafu Mzee Ali Hassan Mwinyi wakiondosha kitambaa kuzindua rasmi
msikiti wa Masjid Fatima Binti Rasuuli leo Februari 2-2014 uliojengwa
katika kijiji cha kiboje uwandani Zanzibar.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Alhajj Dkt. Mohammed
Gharib Bilal, akikata utepe kufungua rasmi msikiti wa Masjid Fatima
Binti Rasuuli leo Machi 2-2014 katika kijiji cha kiboje uwandani
Zanzibar.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Alhajj Dkt. Mohammed
Gharib Bilal na Rais mstaafu Mzee Ali Hassan Mwinyi wakiondosha kitambaa
kuzindua rasmi msikiti wa Masjid Fatima Binti Rasuuli leo Machi 2-2014
uliojengwa katika kijiji cha Kiboje Uwandani Zanzibar.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Alhajj Dkt. Mohammed
Gharib Bilal, akihutubia wananchi wa kijiji cha kiboje uwandani baada ya
kufungua rasmi msikiti wa Masjid Fatima Binti Rasuuli uliopo katika
kijiji cha kiboje uwandani Zanzibar leo Machi 2-2014.
Mufti
Mkuu wa Zanzibar Sheikh Omar Kabi akiongoza Dua ya pamoja baada ya
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib
Bilal kufungua msikiti wa Masjid Fatima Binti Rasuuli uliopo katika
kijiji cha kiboje uwandani Zanzibar leo Machi 2-2014. Picha na OMR
No comments:
Post a Comment