


































Mwili
wa Marehemu John Gabriel Tuppa hii leo Umefika Dodoma kwaajili ya
Kuagwa na Wananchi wa Dodoma na Viongozi wa Serikali walipo Dodoma
ukitokea Mkoa wa Mara.Marehemu Tuppa alifariki Ghafla Tar.26/03/2014
Wilayani Tarime akiwa kazini.Mwili wake Umesafirishwa Kuelekea Mkoani
Morogoro kwaajili ya Mazishi.
Picha/Maelezo na Vijimambo blog
No comments:
Post a Comment