Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Friday, March 28, 2014

RAIS KIKWETE APOKEA RIPOTI YA MAHESABU YA SERIKALI IKULU, DAR ES SALAAM, LEO

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akipokea Ripoti ya Mwaka kutoka kwa Mthibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Bw. Ludovick Utouh Ikulu jijini Dar es salaam leo.
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akisikiliza muhtasari toka kwa Mthibiti na Mkaguzi Mkuuwa Hesabu za Serikali Bw. Ludovick Utouh kabla ya kupokea Ripoti ya mwaka Ikulu jijini Dar es salaam leo. 
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimsindikiza Mthibiti na Mkaguzi Mkuuwa Hesabu za Serikali Bw. Ludovick Utouh baada ya kupokea Ripoti ya mwaka Ikulu jijini Dar es salaam leo. PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment