Garcia aliyefunga bao pekee la Atletico Madrid |
Bao pekee katika mchezo huo liliwekwa kimiani na Raul Garcia dakika dakika ya 13 akimailizia kazi nzuri ya Koke.
Ikishuka dimbani bila nyota wake, Diego Costa, Atletico wamefanikiwa kufikisha pointi 79 na kujikita kileleni katika mbio za ubingwa wa ligi hiyo.
No comments:
Post a Comment