Habari zilizoufikia hivi punde
kutoka mkoani Simiyu ni kwamba watu zaidi ya 20 wamepoteza wamefariki dunia na
wengine wengi kujeruhiwa baada ya basi la Luhuye walilokuwa wanasafiria kutoka
Musoma kwenda Mwanza kugonga nyumba na kupinduka wilayani Busega mkoani Simiyu.chanzo malunde1 blog
TAARIFA KAMILI ITAKUJIA ENDELEA KUWA NASI
TAARIFA KAMILI ITAKUJIA ENDELEA KUWA NASI
No comments:
Post a Comment