MABADILIKO YA UELEKEO WA BARABARA KATIKATI YA JIJI LA DAR ES SALAAM KUANZIA SIKU YA TAREHE 28/04/2014. TRAFFIC CIRCULATION AT CBD
1. Kipande cha Mtaa wa Samora kuanzia Mnara wa Askari (Askari Monument) hadi Clock Tower Magari kutakuwa na mabadiliko ambayo magari yatakuwa yanaelekea Clock Tower badala ya Askari Monument.
2. Barabara ya Sokoine kuanzia Station hadi Makutano ya Mtaa wa Maktaba Posta Ya Zamani Magari yatakuwa yanaelekea Uelekeo mmoja wa Station Posta ya Zamani tofauti na ilivyo sasa Posta ya Zamani kwenda Station.
3. Barabara ya Kivukoni Kuanzia Posta ya Zamani hadi Ferry itakuwa barabara ya mielekeo miwili (Two Ways).
4. Barabara ya Samora kuanzia Mnara wa Askari hadi Ocean Road Hospitali itakuwa ni barabara ya mielekeo miwili.
5. Daladala Zote zitakazotokea barabara za Makataba zitakunja kulia pembeni ya Jengo la NBC na hadi Makutano ya Mkwepu na kukunja kushito kuingia Sokoine pale Posta ya Zamani na baadaye kukunja kushoto kuingia Makataba na kurudi Posta Mpya .
Key:
1. RANGI YA NJANO - Njia ya Uelekeo Mmoja {One Way}.
2. RANGI YA BLUE MPAUKO - Njia ya Mielekeo Miwili {Two Way}
3. RANGI YA KIJANI - Mitaa ya Kutembea kwa Miguu Magari marufuku {Walking Streets}
4. RANGI NYEKUNDU - Barabara za kupita Daladala
5. RANGI YA BLUU ILIYOIVA - Barabara za DART
6. DUARA ZA NJANO - Mzunguuko {Roundabout}
7. MSALABA WA KIJANI - Makutano yenye Taa za kuongozea Magari {Singnalized Intersection}
Kwa Maelezo zaidi Wasiliana na Ofisi za DART
UBUNGO PLAZA GHOROFA YA KWANZA.
AU.
OFISI YA MHANDISI WA MANISPAA YA ILALA
MABALA NA SHOPRITE SUPEEMARKET JIRANK NA KAMATA


hello,
ReplyDeleteMimi nina Mr Maurice kuthibitishwa, reputable, halali & vibali fedha Taasisi. Mimi mkopo fedha nje kwa watu wanaohitaji msaada wa kifedha. Je, una mikopo mbaya au wewe ni katika haja ya fedha ya kulipa madeni? Nataka kutumia kati ya kuwajulisha kuwa sisi kutoa kuaminika msaada walengwa kama sisi itakuwa njema kwa kutoa mkopo. Huduma zinazotolewa. Wasiliana na email: mauricefinance@hotmail.com
ni pamoja na:
refinance
Home Loan
mikopo
Home Improvement
mwanafunzi mkopo
mvumbuzi Loan
mkopo wa gari
Hard fedha mkopo
madeni Consolidation
Mstari wa mikopo
Business Loan
mkopo binafsi
Mikopo ya kimataifa
Kuwasiliana nasi leo na kuruhusu sisi kukusaidia nje ya fedha hardship.Send sisi e-mail na ombi kwa maombi ya mkopo kujaza-up. no
usalama ya kijamii required na hakuna hundi mikopo inahitajika. Kupokea fedha katika chini ya masaa 24. 100% idhini uhakika.
Wasiliana na email: mauricefinance@hotmail.com
Regards,
Mr Maurice.