![]() |
| Rest in Peace Chili Challa tulikupenda lakini Mungu amekupenda zaidi ni ngumu bado kuamini nimeishiwa nguvu jamaniSkylight Bandtz
na fans kwa ujumla tutakumiss mno......! |
Chilli challa akiwajibika ipasavyooo enzi za uhai waki
Chili chala akilikung'uta gitaaaa ipasavyooooooo wakati wa uhai wake





No comments:
Post a Comment