Marehemu Thomas Lipuka Enzi za Uhai wake
Baadhi ya waandishi wa habari wa Mkoa wa Ruvuma wakipanga mipango ya kusafirisha mwili wa marehemu Thomas Lipuka Komba
Nyumbani kwa marehemu Thomas Lipuka Komba Mfaranyaki Songea mjini.
Mwili
wa Mwaandishi wa Habari Thomas Lipuka Komba utasafirishwa kesho Aprili
11. 2014 kuelekea Kijijini kwake Mkili wilayani Nyasa Mkoani Ruvuma kwa
Mazishi.
Kwa mujibu wa taarifa ya msemaji wa familia ambaye
pia ni mtoto wa marehemu Samson Thomas Komba,marehemu alikuwa
anasumbuliwa na ugonjwa wa moyo kwa muda mrefu hali iliyosababisha kifo
cha ghafla.
Marehemu Thomas Lipuka Komba ni miongoni mwa
waanzilishi wa chama cha waandishi wa habari Ruvuma RPC mwaka 1995
alikuwa mwanachama mwaminifu hadi kifo chake. PICHA NA MPENDA MVULA
Rais Dkt. Samia awasili Jijini Moscow nchini Urusi kwa ajili ya Ziara ya
Kitaifa.
-
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa
amesimama wakati akipokea heshima ya wimbo wa Taifa mara baada ya kuwasili
...
16 hours ago




No comments:
Post a Comment