Sio kila siku mzungu wa nane wakati mwingine mnaonyeshana makopakopa tu kikubwa maisha yaendelee, chui na fisi wanakula pamoja!! hahaha ni mara chache sana kutokea lakini ndo imetokea huko Little Governors Camp ndani ya Masai Mara.

na Tabianchi blog








No comments:
Post a Comment