Wanafunzi
wa Shule ya Sekondari Karatu wakimkaribisha kwa shangwe Rais Dkt.Jakaya
Mrisho Kikwete wakati alipowasili mjini humo ambapo alifungua jengo la
Halmashauri ya wilaya ya Karatu.
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kkwete akisalimiana na baadhi ya wananchi wa Karatu
muda mfupi baada ya kuwasili mjini hapo ambapo alifungua jengo la
Halmashauri,Kufungua jengo la TRA wilaya na kuzindua mradi wa maji.
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiteta na mtoto mwenye ulemavu Meshack Amos
kutoka katika kijiji cha Kansay wilayani Karatu.Mtoto huyo alimweleza
Rais kuwa amemaliza darasa la saba na hakupata fursa ya kuendelea na
masomo Rais Kikwete ameahidi kumsomesha(Picha na Freddy Maro)
BOFYA HAPA NA ULIKE PAGE YETU KWA HABARI NYINGIII
BOFYA HAPA NA ULIKE PAGE YETU KWA HABARI NYINGIII
No comments:
Post a Comment