Vikosi
vua ulinzi na usalama vikiwa katika mazoezi makali kwenye uwanja wa
Uhuru leo kwa ajili ya maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania
ulioasisiwa na Baba wa Taifa Mwalimu Julius K. Nyerere na Mzee Abeid
Amani Karume waliounganisha Tanganyika na Zanzibar mwaka 1964 na kuwa
Tanzania huru , Sherehe hizo zitaadhimishwa Aprili 26 mwaka huu kwenye
uwanja wa Uhuru Mgeni rasmi akiwa Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya
Muungano ya Tanzania Dr. Jakaya Mrisho Kikwete.(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA
FULLSHANGWE-DAR ES SALAAM)
Katibu
Mkuu Kiongoziwa Tano kutoka kulia ni Naibu Katibu Mkuu Kiongozi Dr.
Frolence Turuka wa nne kutoka kulia na maafisa mbalimbali wa majeshi ya
ulinzi na usalama wakijumuika pamoja kushuhudia mazoezi hayo ya vikosi
vya ulinzi na usalama kwenye uwanja wa Uhuru leo.
Mazoezi ya vikosi hivyo yakiendelea.
Kikosi cha Askari wa msituni kikifanya mazoezi ya kutoa heshima kwa Amiri jeshi mkuu
Kikosi cha makomandoo kikitoa heshima
Picha
mbalimbali zikionyesha vikosi vya zana mbalimbali za kivita vikifanya
mazoezi ya kutoa heshima kwa mgeni rasmi Amiri Jeshi Mkuu.
JENGO LA MAKAO MAKUU WMA KUKABIDHIWA FEBRUARI 10, 2025, UJENZI WAFIKIA
ASILIMIA 95.2
-
Na Janeth Raphael MichuziTv -Dodoma
KATIBU Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara Dkt. Hashil
Abdallah,ameridhishwa na ujenzi wa Jengo la Wakala wa Vipim...
46 minutes ago
No comments:
Post a Comment